Trinidad na Tobago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Republic of Trinidad and Tobago
Flag of Trinidad na Tobago Nembo ya Trinidad na Tobago
Bendera Nembo
Wito la taifa: Together we aspire, together we achieve
Wimbo wa taifa: Forged From The Love of Liberty
Lokeshen ya Trinidad na Tobago
Mji mkuu Port of Spain
10°40′ N 61°31′ W
Mji mkubwa Chaguanas [1]
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Jamhuri
George Maxwell Richards
Patrick Manning
Uhuru
Kutoka Uingereza

31 Agosti 1962
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
5,128 km² (ya 172)
Kidogo sana
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
1,305,000 (ya 152)
207.8/km² (ya 47)
Fedha Trinidad and Tobago dollar (TTD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC n/a)
Intaneti TLD .tt
Kodi ya simu +1-868

Jamhuri ya Trinidad na Tobago ni nchi ya visiwani katika Karibi ya kusini karibu na pwani ya Venezuela upande wa kusini ya kisiwa cha Grenada cha Antili Ndogo. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni Barbados na Guyana.

Nchi ina eneo la 5,128 km² ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha Trinidad. Tobago ina asilimia 6 za eneo pekee pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Trinidad na Tobago" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Trinidad na Tobago kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi