Grenada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Grenada
Bendera ya Grenada [[Picha:|110px|Nembo ya Grenada]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: Ever Conscious of God We Aspire, Build and Advance as One People
Wimbo wa taifa: Hail Grenada
Wimbo la Kifalme: God Save the Queen
Lokeshen ya Grenada
Mji mkuu St. George's
12°3′ N 61°45′ W
Mji mkubwa nchini St. George's
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Ufalme wa kikatiba
Bunge kwa namna ya Westminster

Malkia Elizabeth II
Cécile La Grenade
Keith Mitchell
Uhuru
Kutoka Uingereza

7 Februari 1974
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
344 km² (ya 203)
1.6
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
103,000 (ya 193)
259.5/km² (ya 45)
Fedha East Caribbean Dollar (XCD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC-4)
Intaneti TLD .gd
Kodi ya simu +1-473

-Grenada ni nchi ya kisiwani katika kusini ya Bahari ya Karibi. Iko kaskazini ya Trinidad na Tobago na kusini ya Saint Vincent. Ni nchi mwanachama wa jumuiya ya madola na mkuu wa Dola ni malkia Elisabeth II wa Uingereza anayewakilishwa kisiwani kwa Gavana Mkuu.

Wakazi walio wengi (zaidi ya 80%) ni wa asili ya kiafrika wametokana na watumwa waliopelekwa hapa kulima mashamba ya miwa au ni chotara wa watumwa wale na mabwana Wafaransa.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Neo la nchi ni kisiwa kikuu cha Grenada pamoja na visiwa kadhaa za funguvisiwa ya Grenadini kama vile Carriacou, Petit Martinique, Rhonde Island na vingine vidogo. Idadi kubwa ya wakazi iko Grenada penyewe pamoja na miji ya St. George's (mji mkuu), Grenville na Gouyave.

Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno vyenye ardhi yenye rutba. Grenada ina milima na mkubwa ni mlima St. Catherine mwenye 840 m.

Caribe-geográfico.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Grenada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.