Guatemala
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Kihisoania: El País de la Eterna Primavera (maana yake: "Nchi ya Kivuli cha Milele") |
|||||
| Wimbo wa taifa: Himno Nacional de Guatemala | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Guatemala City |
||||
| Mji mkubwa nchini | Guatemala City | ||||
| Lugha rasmi | Kihispania (rasmi) (lugha za asili 23 zimetambuliwa rasmi lakini mambo yote huendeshwa kwa Kihispania) |
||||
| Serikali | Jamhuri ya kirais Álvaro Colom |
||||
| Uhuru Tarehe |
Kutoka Hispania 15 Septemba 1821 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
108,890 km² (106th) 0.4 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
12,800,000 (70th) 134.6/km² (85th) |
||||
| Fedha | Quetzal (GTQ) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .gt | ||||
| Kodi ya simu | +502
- |
||||
Guatemala ni nchi ya Amerika ya Kati. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guatemala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
