Belize

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Belize
Bendera ya Belize Nembo ya Belize
Bendera Nembo
Wito la taifa: Kilatini: Sub Umbra Floreo
(maana yake: "Kivulini nasitawi")
Wimbo wa taifa: Land of the Free
Wimbo wa kifalme: God Save the Queen
Lokeshen ya Belize
Mji mkuu Belmopan
17°15′ N 88°46′ W
Mji mkubwa nchini Belize City
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Nchi ya Jumuiya ya Madola
Elizabeth II
Colville Young
Dean Barrow
Uhuru
Tarehe
Kutoka Uingereza
21 Septemba 1981
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
22,966 km² (151st)
0.7
Idadi ya watu
 - Julai 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
287,730 (179th**)
12.5/km² (203rd**)
Fedha Belize Dollar (BZD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-6)
(UTC)
Intaneti TLD .bz
Kodi ya simu +501

-

** Takwimu ya mwaka 2005.Belize ni nchi ya Amerika ya Kati upande wa pwani ya Mashariki. Inapakana na nchi za Mexiko, Guatemala na Honduras.

Hadi 1973 ilijulikana kama koloni ya British Honduras (Honduras ya Kiingereza). Tangu 1964 koloni ilikuwa na serikali yake na madaraka ya kujitawala katika mambo ya ndani.

Uhuru kamili ukafuata 21 Septemba 1981.

Uhusiano na nchi jirani ya Guatemala ilikuwa vigumu kwa miaka mingi kwa sababu serikali ya Guatamala ilidai kuwa Belize ni sehemu ya eneo lao.

Centroamerica politico.png Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belize kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.