Greenland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kalaallit Nunaat
Grønland
Grinilandi
Bendera ya Greenland Nembo ya Greenland
Bendera Nembo
Wito la taifa:
Wimbo wa taifa: Nunarput utoqqarsuanngoravit
Nuna asiilasooq
Lokeshen ya Greenland
Mji mkuu Nuuk (Godthåb)
64°10′ N 51°43′ W
Mji mkubwa nchini Nuuk (Godthåb)
Lugha rasmi Kikalaallisut, Kidenmark
Serikali Demokrasia
(serikali ya kibunge ndani ya ufalme wa kikatiba)
Margrethe II wa Denmark
Kim Kielsen 2014
Eneo la kujitawala
Kujitawala
1979
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
2,166,086 km² (ya 13)
81.1a
Idadi ya watu
 - Desemba 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
57,100 (ya 213)
0.026/km² (ya 230)
Fedha Krone ya Denmark (DKK)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC0 to -4)
(UTC)
Intaneti TLD .gl
Kodi ya simu +299

-

a As of 2000: 410,449 km² (158,433 sq. miles) ice-free; 1,755,637 km² (677,676 sq. miles) ice-covered.
b 2001 estimate.


Greenland (kwa Kiswahili Grinilandi pia; Kikalaallisut: Kalaallit Nunaat (Nchi ya Wagreenland)) ni nchi ya kujitawala chini ya ufalme wa Denmark lakini haihesabiwi kuwa sehemu ya Denmark yenyewe. Jina la Kiswahili limetokana na Kiingereza "Greenland" ambayo ni tafsiri ya jina la Kidenmark "Grønland" linalomaanisha "nchi yenye rangi ya majani mabichi".

Kijiografia Greenland ni sehemu ya bamba la Amerika ya Kaskazini lakini kisiasa na kihistoria imekuwa na uhusiano wa karibu na Ulaya ya Kaskazini.

Barafuto ya Sermeq Kujatdlek upande wa magharibi ya Greenland

Eneo la Greenland ni kubwa lakini idadi ya wakazi ni ndogo sana kwa sababu sehemu kubwa ya nchi (85%) imefunikwa na ganda nene la barafu. Jina la Greenland limepatikana miaka 1000 iliyopita kwa sababu wakati ule hali ya hewa duniani ilikuwa na joto zaidi na hapakuwa na barfu nyingi kama leo.

Mji mkuu ni Godthaab inayoitwa Nuuk na wakazi asilia.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Grønland
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Greenland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kigezo:Amerika ya Kaskazini