Skandinavia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kazkazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norwei, Uswidi, Denmark, Ufini na Iceland.
Kwa njia nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee yaani Norway na Usidi.
Lugha za Skandinavia ziko karibu sana kati yao; zote ni Kigermanik ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha ya Kiasia.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Skandinavia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |