Rangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

[hariri] Orodha ya Rangi

Rangi Sampuli
Nyeusi
Kijivujivu
Fedha
Majivu
Udongo
Kahawia
Chokoleti
Shaba
Hudhurungi
Buluu
Samawati
Feruzi
Kijani
Zumaridi
Chanikiwiti
Ndimu
Pinki
Waridi
Zambarau
Urujuani
Nyekundu
Machungwa
Dhahabu
Manjano
Mahindi
Mtindi
Nyeupe
Science.jpg Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine