Nili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nili
Rangi, traditional color of Japan
Sehemu yabuluu Hariri
Sehemu yaseven prismatic colors, shade of blue Hariri
Name in kanaあいいろ Hariri
Ameitwa baada yaindigo Hariri
SRGB color hex triplet4B0082 Hariri
CSS color keywordindigo Hariri
Nili
( #4B0082)

Nili ni rangi ya buluu iliyoiva yaani kati ya buluu na zambarau. Katika lugha za magharibi huitwa "indigo" kwa sababu asili yake iko Uhindi.

Hutumika hasa kwa kutia rangi nguo. Inatoka kwa mimea fulani kiasili hasa kwenye mnili (Indigofera tinctoria). Siku hizi, rangi ya nili hutengenezwa mara nyingi kwa usanisi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.