Puerto Rico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Estado Libre Asociado de Puerto Rico
Commonwealth of Puerto Rico
Dola huru la kushirikishwa la Puerto Rico
Bendera ya Puerto Rico Nembo ya Puerto Rico
Bendera Nembo
Wito la taifa: Kilatini: Joannes Est Nomen Eius;
Kihispania: Juan es su nombre
("Jina lake ni Yohane ")
Wimbo wa taifa: La Borinqueña
Lokeshen ya Puerto Rico
Mji mkuu San Juan
18°29′ N 66°8′ W
Mji mkubwa nchini San Juan
Lugha rasmi Kihispania, Kiingereza
Serikali demokrasia
Aníbal Acevedo Vilá
Uhuru
established_dates =

area = 9,104

{{{established_dates}}}
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
{{{area}}} km² (ya 169)
1.6
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2005 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,912,054 (ya 126)
3,913,054
434/km² (ya 21)
Fedha Dollar ya Marekani (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
AST (UTC-4)
No DST (UTC-4)
Intaneti TLD .pr
Kodi ya simu +1-787 and +1-939

-


Ramani ya Puerto Rico

Puerto Rico ni nchi katika Bahari ya Karibi ambayo ni eneo la kushirikishwa la Marekani katika visiwa vya Antili Kubwa. Iko upande wa mashariki ya Jamhuri ya Dominika na upande wa magharibi ya Visiwa vya Virgin.

Jina la Puerto Rico kwa Kihispania humaanisha "bandari tajiri".

Ilikuwa koloni la Hispania mpaka ilipovamiwa na Marekani tarehe 25 Julai 1898 wakati wa Vita ya Marekani dhidi Hispania na kutawaliwa kama koloni hadi 1917 ambako watu wa Puerto Rico walipewa uraia wa Marekani na kiwango cha utawala wa mambo ya ndani.

Tangu 1948 gavana amechaguliwa na watu, si kuteuliwa tena na rais wa Marekani.

Funguvisiwa ya Puerto Rico inajumuisha kisiwa kikuu cha Puerto Rico pamoja na visiwa na funguvisiwa vidogo kama vile Mona, Vieques, Monito, Desecheo, Caja de Muertos, Pajaros, Icacos, Palominos, Palominitos, Culebrita, na Culebra.

Puerto Rico si jimbo kamili la Marekani bali nchi inayojitawala katika mambo ya ndani ilhali siasa ya nje na mambo ya uchumi hutawaliwa na Marekani.

Wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika uchaguzi wa rais. Kuna mwakilishi wa Puerto Rico katika bunge la Washington lakini hapigi kura.

Watu wa Puerto Rico humchagua Gavana na wabunge wao.

Katika kura za 1967 na 1993 walikataa kutafuta uhuru lakini walikataa pia kuwa jimbo kamili la Marekani wakapendelea hali ya eneo la kushirikishwa.


Caribe-geográfico.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Puerto Rico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Puerto Rico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.