Washington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

kwa maana mbalimbali ya jina "Washington" tazama Washington (maana)
Mahali pa Jimbo la Washington katika Marekani
Mahali pa Jimbo la Washington katika Marekani

Washington ni kati ya majimbo ya kujitawala ya Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini magharibi ya Marekani bara. Imepakana na Oregon, Idaho na British Columbia katika Kanada. Upande wa magharibi kuna pwani la Pasifiki.

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya rais wa kwanza wa Marekani George Washington.

Mji mkuu wa jimbo ni Olympia. Hii ni mji mdogo. Miji miwili mikubwa ya jimbo ni Seattle na Spokane. Eneo la jimbo ni 184,824 km² na idadi ya wakazi inazidi milioni sita.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Washington" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Washington kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Majimbo na maeneo ya Marekani
Majimbo ya Marekani
AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming
Mkoa wa Mji Mkuu
Mkoa wa Columbia (Washington D.C.)
Visiwa vya ng'ambo
Katika Pasifiki: Samoa ya MarekaniVisiwa vya Mariana ya KaskaziniGuamKatika Karibi: Puerto RicoVisiwa vya Virgin vya MarekaniVisiwa vidogo sana vya Pasifiki:Kisiwa cha HowlandKisiwa cha JarvisAtolli ya JohnstonKingman ReefAtolli ya MidwayKisiwa cha BakerAtolli ya PalmyraKisiwa cha WakeKisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa
Vifaa binafsi