Antili Kubwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antili Kubwa ni visiwa katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Antili Ndogo, Visiwa vya Turks na Caicos na Bahamas ni visiwa vya Karibi.
Antili Kubwa ni hasa visiwa vinne vifuatavyo vikubwa zaidi pamoja na visiwa vingi vidogo.
- Kuba
- Hispaniola penye nchi mbili za Haiti na Jamhuri ya Dominika
- Jamaika
- Puerto Rico
Orodha ya visiwa na funguvisiwa katika eneo la Antili Kubwa [hariri]
- Kuba (nchi)
- Kuba (kisiwa)
- Archipiélago de Sabana
- Jardines del Rey
- Archipiélago de Camagüey
- Archipiélago de los Canarreos
- Jardines de la Reina
- Visiwa vya Kaiman (Uingereza)
- Jamaika (nchi)
- Pedro Cays (Jamaika)
- Navassa (Marekani)
- Hispaniola na visiwa jirani
- Hispaniola (Haiti na Jamhuri ya Dominika
- Île de la Tortue (Haiti)
- Île de la Gonâve (Haiti)
- Île Grande Cayemite (Haiti)
- Île à Vache (Haiti)
- Cayos de Siete Hermanos (Jam. Dom.)
- Isla Beata (Jam. Dom.)
- Isla Saona (Jam. Dom.)
- Fuunguvisiwa ya Puerto Rico (nchi iliyojumuishwa na Marekani)
- Puerto Rico (Kisiwa)
- Mona na Monita
- Desecheo
- Caja de Muertos
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Antili Kubwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |