Saint Kitts na Nevis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Federation of Saint Kitts and Nevis
Shirikisho la Saint Christopher na Nevis
Bendera ya Saint Kitts na Nevis [[Picha:|110px|Nembo ya Saint Kitts na Nevis]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: Country Above Self - Nchi mbele ya nafsi !
Wimbo wa taifa: "O Land of Beauty!"
Wimbo wa Kifalme: "God Save the Queen"
Lokeshen ya Saint Kitts na Nevis
Mji mkuu Basseterre
17°18′ N 62°44′ W
Mji mkubwa nchini Basseterre
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Demokrasia
Nchi ya jumuiya ya madola
Elizabeth II wa Uingereza
Sir Cuthbert Sebastian
Dr. Denzil Douglas
Uhuru
Tarehe
19 Septemba 1983
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
261 km² (ya 207)
kidogo sana
Idadi ya watu
 - [[Julai 2005]] kadirio
 - Msongamano wa watu
 
42,696 (ya 209)
164/km² (ya 64)
Fedha East Caribbean dollar (XCD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD .kn
Kodi ya simu +1-869

-Ramani ya St. Kitts na Nevis


Saint Kitts na Nevis ni nchi ya visiwani kwenye visiwa viwili katika Bahari ya Karibi na nchi ndogo kabisa ya Amerika yote.

Mji mkuu wa Basseterre uko kwenye kisiwa cha Saint Kitts. Kisiwa kidogo cha Nevis (jina la zamani ya Kihispania: Nuestra Señora de las Nieves) kipo km 3 kusini-mashariki ya Kitts. Zamani pia kisiwa cha anguilla kiliunganishwa na visiwa hivi.


Caribe-geográfico.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint Kitts na Nevis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.