Barbados

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Barbados
Flag of Barbados Nembo ya Barbados
Bendera Nembo
Wito la taifa: "Pride and Industry"
Wimbo wa taifa: In Plenty and In Time of Need
Lokeshen ya Barbados
Mji mkuu Bridgetown
13°10′ N 59°32′ W
Mji mkubwa nchini Bridgetown
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Parliamentary democracy
Constitutional monarchy
Malkia Elizabeth II
Clifford Husbands
Owen Arthur
Uhuru
kutoka Uingereza

30 Novemba 1966
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
431 km² (ya 199)
Kidogo sana
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
279,254 (ya 180)
647/km² (ya 15)
Fedha Barbados dollar ($) (BBD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD .bb
Kodi ya simu +1-246

Barbados ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini.- mashariki ya Venezuela (Amerika Kusini).

Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi. Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Barbados" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Barbados kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi