Kosta Rika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: ¡Vivan siempre el trabajo y la paz! | |||||
| Wimbo wa taifa: Noble patria, tu hermosa bandera | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | San Jose |
||||
| Mji mkubwa nchini | San Jose | ||||
| Lugha rasmi | Kihispania | ||||
| Serikali | Jamhuri, demokrasia Óscar Arias |
||||
| Uhuru Tarehe |
15 Septemba 1821 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
51,100 km² (ya 129) 0.7% |
||||
| Idadi ya watu - 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
4,327,000 (ya 119) 85/km² (ya 107) |
||||
| Fedha | colón (CRC) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .cr | ||||
| Kodi ya simu | +506
- |
||||
Kosta Rika (Costa Rica) ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Nikaragua na Panama; kuna pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na pwani ya Bahari ya Karibi upande wa mashariki.
Kosta Rika ilikuwa nchi ya kwanza duniani ya kufuta jeshi lake kikatiba.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kosta Rika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
