Amerika ya Kati

Kutoka Wikipedia

Mahali pa Amerika ya Kati duniani
Mahali pa Amerika ya Kati duniani

Amerika ya Kati ni sehemu ya Amerika kusini ya Marekani na kaskazini ya Kolombia.

Inajumisha nchi za shingo la nchi kati ya Marekani na Kolombia pamoja na visiwa vya Karibi. Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:

  • Meksiko si sehemu ya shingo la nchi lakini kwa sababu za kihistoria na kiutamaduni mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati

Pia kuna nchi za visiwani katika bahari ya Karibi:

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Amerika ya Kati" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Amerika ya Kati kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi