Kosta Rika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

(Elekezwa kutoka Costa Rica)
República de Costa Rica
Jamhuri ya Kosta Rika
Flag of Kosta Rika [[Image:|110px|Nembo ya Kosta Rika]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: ¡Vivan siempre el trabajo y la paz!
Wimbo wa taifa: Noble patria, tu hermosa bandera
Lokeshen ya Kosta Rika
Mji mkuu San Jose
9°56′ N 84°5′ W
Mji mkubwa nchini San Jose
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri, demokrasia
Óscar Arias
Uhuru
Tarehe
15 Septemba 1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
51,100 km² (ya 129)
0.7%
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
4,327,000 (ya 119)
85/km² (ya 107)
Fedha colón (CRC)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-6)
(UTC)
Intaneti TLD .cr
Kodi ya simu +506
Ramani ya Kosta Rika.
Ramani ya Kosta Rika.

Kosta Rika (Costa Rica) ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Nikaragua na Panama; kuna pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na pwani ya Bahari ya Karibi upande wa mashariki.

Kosta Rika ilikuwa nchi ya kwanza duniani ya kufuta jeshi lake kikatiba.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Kosta Rika" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Kosta Rika kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi