El Salvador
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Dios, Unión, Libertad (Kihispania: Mungu, Umoja, Uhuru) |
|||||
| Wimbo wa taifa: Saludemos la Patria orgullosos Tusalimie nchi yetu kwa usodawi |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | San Salvador |
||||
| Mji mkubwa nchini | San Salvador | ||||
| Lugha rasmi | Kihispania | ||||
| Serikali | Jamhuri Mauricio Funes |
||||
| Uhuru kutoka Hispania kutoka Shirikisho la Amerika ya Kati |
Septemba 15, 1821 1842 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
21,040 km² (ya 153) 100% |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 1992 sensa - Msongamano wa watu |
7,203,807 (ya 97) 5,118,599 318.7/km² (ya 32) |
||||
| Fedha | US dollar (USD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .sv | ||||
| Kodi ya simu | +503 |
||||
| Alama ya kimataifa ya magari | {{{vehicle_code}}} |
||||
El Salvador ni nchi ya Amerika ya Kati yenye wakazi milioni 6.9. Imepakana na Guatemala, Honduras na bahari ya Pasifiki.
Jina la nchi kwa Kihispania linamaanisha "Mwokozi" kwa heshima ya Yesu Kristo, ambaye wananchi wengi ni wafuasi wake katika Kanisa Katoliki.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu El Salvador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
