Waindio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Wanawake wa kabila la Quechua katika wilaya ya Andahuaylillas, Peru, 2007.

Waindio au Wahindi wekundu ni watu wanaotokana na waliokuwa wenyeji wa Amerika kabla ya bara hilo kufikiwa na Christopher Columbus (1492).

Wanakadiriwa kuwa milioni 48, wengi wao wakiishi Peru, Meksiko, Bolivia na Guatemala.

Hesabu hii haijumlishi machotara.