21 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1676 - Uchaguzi wa Papa Innocent XI
- 1979 - Serikali ya Jean Bedel Bokassa, Kaisari ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, imepinduliwa
- 1981 - Nchi ya Belize inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 1991 - Nchi ya Armenia inapata uhuru wake rasmi kutoka Umoja wa Kisovyeti.
Waliozaliwa [hariri]
- 1415 - Kaisari Federiki III wa Ujerumani (alitawala 1440-93)
- 1853 - Heike Kamerlingh Onnes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913)
- 1866 - Charles Nicolle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928)
- 1909 - Kwame Nkrumah (Rais wa kwanza wa Ghana)
- 1926 - Donald A. Glaser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1960)
Waliofariki [hariri]
- 687 - Papa Konon
- 1558 - Kaisari Karoli V wa Ujerumani (alitawala 1519-56)
- 1860 - Arthur Schopenhauer, mwanafalsafa wa Ujerumani
- 1971 - Bernardo Houssay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947)
- 1973 - William Plomer, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1987 - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani