Guyana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Co-operative Republic of Guyana
Bendera ya Guyana Nembo ya Guyana
Bendera Nembo
Wito la taifa: One people, one nation, one destiny
"Umma moja, taifa moja, mwelekeo wetu"
Wimbo wa taifa: Dear Land of Guyana, of Rivers and Plains
Lokeshen ya Guyana
Mji mkuu Georgetown
6°49′ N 58°9′ E
Mji mkubwa nchini Georgetown
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Jamhuri
Bharrat Jagdeo
Samuel Hinds
Uhuru
Kutoka Uingereza
Jamhuri

26 Mei 1966
23 Februari 1970
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
214,969 km² (ya 84)
8.4
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2002 sensa
 - Msongamano wa watu
 
751,000 (ya 162)
751,223
3.5/km² (ya 217)
Fedha dollar ya Guyana (GYD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD .gy
Kodi ya simu +592

---Kwa mkoa wa jirani ya Ufaransa angalia makala Guyana ya Kifaransa--

Guyana ni nchi katika Amerika Kusini. Imepakana na Suriname upande wa mashariki, na Brazil upande wa kusini na kusini-magharibi halafu na Venezuela upande wa magharibi.

Ni nchi ndogo ya tatu barani. Guyana ni nchi ya pekee katika Amerika Kusini inayotumia Kiingereza kama lugha rasmi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Serikali[hariri | hariri chanzo]

Taarifa za Jumla[hariri | hariri chanzo]

Nyongeza[hariri | hariri chanzo]

Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyana ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

South America.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guyana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.