Uruguay
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Libertad o Muerte (Uhuru au Mauti) | |||||
| Wimbo wa taifa: Orientales la Patria o la Tumba! | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Montevideo |
||||
| Mji mkubwa nchini | Montevideo | ||||
| Lugha rasmi | Kihispania | ||||
| Serikali | Jamhuri José Mujica |
||||
| Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
25 Agosti 1825 28 Agosti 1828 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
176,215 km² (ya 90) 1.5 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
3,463,000 (ya 130) 3,399,237 20/km² (ya 186 1) |
||||
| Fedha | Peso ya Uruguay (UYU) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-3) (UTC-2) |
||||
| Intaneti TLD | .uy | ||||
| Kodi ya simu | +598
- |
||||
Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando la Atlantiki. Imepakana na Brazil na Argentina. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni maji : mdomo mpana wa mto Rio de la Plata uko upande wa kusini-magharibi na Atlantiki upande wa kusini mashariki.
Mji mkuu ni Montevideo wanapoishi nusu ya wakazi wote ya nchi. Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam.
Viungo vya nje [hariri]
| Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
|
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyana ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uruguay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
