Paraguay
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Kihispania: Paz y justicia ("Amani na Haki") |
|||||
| Wimbo wa taifa: Paraguayos, República o Muerte ("Waparaguay, jamuri au mauti") |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Asuncion |
||||
| Mji mkubwa nchini | Asunción | ||||
| Lugha rasmi | Kihispania, Kiguaraní | ||||
| Serikali | Jamhuri Fernando Lugo |
||||
| Uhuru imetangazwa |
14 Mei 1811 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
406,752 km² (ya 59) 2.3% |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
6,158,000 (ya 101) 15/km² (ya 192) |
||||
| Fedha | Guarani (PYG) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC-3) |
||||
| Intaneti TLD | .py | ||||
| Kodi ya simu | +595
- |
||||
Paraguay (pia: Paragwai) ni nchi ya Amerika Kusini isiyo na pwani la bahari. Imepakana na Argentina, Brazil na Bolivia. Jina la 'Paraguay' limetokana na lugha ya Kiguarani lamaanisha 'kutoka mto mkubwa'. Mto huu mkubwa ni Parana.
Mji mkuu ni Asuncion iliyoundwa mwaka 1537 na Mhispania Juan de Salazar. Paraguay ikuwa koloni ya Hispania ikapata uhuru wake mwaka 1811.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kihispania) Rais wa Paraguay tovuti rasmi
| Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
|
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyana ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Paraguay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
