1811
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1780 | Miaka ya 1790 | Miaka ya 1800 | Miaka ya 1810 | Miaka ya 1820 | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | ►
◄◄ | ◄ | 1807 | 1808 | 1809 | 1810 | 1811 | 1812 | 1813 | 1814 | 1815 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1811 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- Amerika ya Kusini: mapinduzi katika nchi mbalimbali dhidi ya utawala wa Hispania
- 15 Mei: Paraguay inajipatia uhuru kutoka Hispania.
- 18 Mei wanamigambo wa Uruguay chini ya José Gervasio Artigas wanashinda jeshi la Hispania .
- 5 Julai: Venezuela na Bolivia zinatangaza uhuru kutoka Hispania.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1811 MDCCCXI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5571 – 5572 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1803 – 1804 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1260 ԹՎ ՌՄԿ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1226 – 1227 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1189 – 1190 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1866 – 1867 |
| - Shaka Samvat | 1733 – 1734 |
| - Kali Yuga | 4912 – 4913 |
| Kalenda ya Kichina | 4507 – 4508 庚午 – 辛未 |
Waliofariki [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: