1810
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1807 1808 1809 - 1810 - 1811 1812 1813 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 11 Januari Johann Ludwig Krapf katika kijiji cha Derendingen (Ujerumani ya Kusini-Magharibi) atakayekuwa mmisionari wa CMS katika Ethiopia na Mombasa; atatunga kamusi na sarufi ya kwanza ya Kiswahili.
- 2 Machi - Papa Leo XIII
- 8 Juni - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani

