Guanajuato (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtaa wa Hidalgo,San Miguel de Allende, Guanajuato
Bendera ya Guanajuato
Mahali pa Guanajuato katika Mexiko

Guanajuato ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni Guanajuato na mji mkubwa ni León. Jimbo lina wakazi wapatao 4,893,812 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 30,491.

Imepakana na San Luis Potosí, Querétaro, Michoacán na Jalisco.

Gavana wa jimbo ni Juan Manuel Oliva Ramirez.

Jina la Guanajuato ni ya Kip'urhépecha, maana yake ni kilima ya majura.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. León (1,278,087)
  2. Guanajuato (70,798)
  3. San Miguel de Allende (134.880)
  4. Dolores Hidalgo (50 391)


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guanajuato (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.