Tabasco (jimbo)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Tabasco katika Mexiko
Tabasco ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kusini ya nchi. Upande wa kaskazini ni pwani la hori ya Campeche. Tabasco ni jimbo innayohesabiwa ama kuwa sehemu ya shingo la nchi la Tehuantepec.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Villahermosa (kwa Kihispania: kitongoji sheshe).
Imepakana na Veracruz, Chiapas, Campeche na nchi ya Guatemala.
Jimbo lina wakazi wapatao 1,989,969 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 25,267.
Gavana wa jimbo ni Andrés Rafael Granier.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Miji Mikubwa [hariri]
- Villahermosa (658,524)
- Cárdenas (79,875)
- Teapa (49,262)
Viungo vya Nje [hariri]
- (Kihispania) Estado de Tabasco Sitio oficial
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tabasco (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |