Jagwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jagwa | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Jagwa (Panthera onca)
|
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Jagwa (kutoka Kireno: jaguar, Kisayansi: Panthera onca) ni mnyama mkubwa kama chui anayeishi Amerika na aliye na manyoya ya manjano na madoa meusi.