Nayarit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sayulita, Nayarit
Bendera ya Nayarit
Mahali pa Nayarit katika Mexiko

Nayarit Ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Mji mkuu na mji mkubwa ni Tepic.

Jimbo lina wakazi wapatao 949,684 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 26,979.

Imepakana na Sinaloa, Durango, Zacatecas na Jalisco.

Gavana wa jimbo ni Ney González Sánchez.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Tepic (295,204)
  2. Acaponeta (34,665)
  3. Tuxpan (34,079)
  4. Tecuala (14,584)


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nayarit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.