Lebanoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lebanon)
Rukia: urambazaji, tafuta
الجمهورية اللبنانية
Al-Jumhūriyyah al-Lubnāniyyah
Jamhuri ya Lebanoni
Bendera ya Lebanoni Nembo ya Lebanoni
Bendera Nembo
Wito la taifa: Kūllūnā li-l-waṭan  (Kiarabu)
"Sisi sote kwa ajili ya taifa"
Wimbo wa taifa: Kulluna lil-watan
Lokeshen ya Lebanoni
Mji mkuu Beirut
33°54′ N 35°32′ E
Mji mkubwa nchini Beirut
Lugha rasmi Kiarabu(na zamani Kifaransa)
Serikali Jamhuri
Michel Suleiman
Saad Hariri
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa

26 Novemba 1941
22 Novemba 1943
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
10,452 km² (ya 166)
1.6
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
3,874,050 (ya 113)
358/km² (ya 26)
Fedha Lira ya Lebanon (LL) (LBP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .lb
Kodi ya simu +961

-



Lebanoni (Kiarabu: لبنان ) ni nchi ndogo ya Mashariki ya Kati katika Asia ya Magharibi kando la Bahari ya Mediteranea. Imepakana na Syria na Israel.

Kati ya nchi za Waarabu Lebanoni ni nchi ya pekee yenye wakazi wengi ambao ni wakristo.

Jiografia na wakazi [hariri]

Kuna kanda nne za kijiografia:

  • Kiini cha nchi ni safu ya milima ya Lebanoni inayopanda hadi kimo cha 3000 m na kuelekea sambamba na pwani la Mediteranea.
  • Kuna kanda nyembamba la pwani kati ya milima na bahari.
  • Upande wa mashariki ya milima kuna tambarare ya Beka'a inayofaa kwa kilimo
  • Safu ya milima ya Lebanoni ndogo mpakani wa Syria

Mto mrefu ni Litani yenye mwendo wa 140 km inayoishia baharini karibu na mji Tyros (Sur).

Miji mikubwa ni (kadirio ya idadi ya wakazi kwa mabano):

Zaidi ya nusu ya wakazi wa nchi hukaa katika rundiko la jiji la Beirut. Inasemekana ya kwamba zaidi ya nusu ya Walibanoni wote wamehamia nje ya nchi.


Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lebanoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.