Aguascalientes (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Aguascalientes, Mexico
Bendera ya Aguascalientes
Mahali pa Aguascalientes katika Mexiko

Aguascalientes (kwa Kihispania: maji moto) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa Mexiko ya kati ya nchi. Ni jimbo dogo lenye eneo la 5,471 km² na wakazi 1,065,416 pekee.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Aguascalientes.

Imepakana na Zacatecas na Jalisco. Imekuwa jimbo ya Mexiko tangu 1857.

Gavana wa jimbo ni Luis Armando Reynoso Femat.

Lugha rasmi ni Kihispania

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Aguascalientes (663,671)


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aguascalientes (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.