San Luis Potosí (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fagus mexicana, San Luis Potosí
Bendera ya San Luis Potosí
Mahali pa San Luis Potosí katika Mexiko

San Luis Potosí ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa Mexico ya kati-kaskazini ya nchi.

Mji mkuu na mji mkubwa ni San Luis Potosí. Imepakana na Coahuila, Nuevo León, Veracruz, Hidalgo, Querétaro, Guanajuato na Zacatecas. Jimbo lina wakazi wapatao 2,410,414 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 63,068.

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya Mfalme Louis IX wa Ufaransa.

Chuo kikuu kikubwa ni Universidad Autonoma de San Luis de Potosí (Chuo Kikuu Huria cha San Luis Potosí).

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. San Luis Potosí (685,934)
  2. Ciudad Valles (239,842)
  3. Soledad de Graciano Sánchez (215,968)
  4. Matehuala (70,150)


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Estado de San Luis Potosí Sitio oficial Archived 19 Agosti 2019 at the Wayback Machine.



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Luis Potosí (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.