Mexiko
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mexico)
|
|||||
| Wito la taifa: (hakuna) | |||||
| Wimbo wa taifa: Himno Nacional Mexicano | |||||
| Mji mkuu | Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico) |
||||
| Mji mkubwa nchini | Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico) | ||||
| Lugha rasmi | (hakuna kitaifa) Kihispania (hali halisi) |
||||
| Serikali | Shirikisho la Jamhuri Felipe Calderón |
||||
| Uhuru Imetangazwa imetambuliwa |
16 Septemba 1810 27 Septemba 1821 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,972,550 km² (ya 15) 2.5% |
||||
| Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
107,029,000 (ya 11) 101,879,171 55/km² (ya 142) |
||||
| Fedha | Peso (MXN) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-8 to -6) varies (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .mx | ||||
| Kodi ya simu | +52
- |
||||
Mexiko ni nchi kubwa inayohesabiwa ama kuwa sehemu ya Amerika ya Kaskazini au ya Amerika ya Kati.
Imepakana na Marekani upande wa kaskazini. Upande wa kusini majirani ni Guatemala na Belize. Ina pwani ndefu na bahari za Pasifiki na Ghuba ya Meksiko.
Mji mkuu ni Mexico City.
Wakazi wengi ni machotara wenye damu ya Wahindi wekundu na Wazungu.
Hutumia lugha ya Kihispania ambayo ni pia [[lugha rasmi] ya taifa, lakini wengine wanaendelea kutumia lugha asilia tangu kabla ya ukoloni kama vile Nahuatl, Maya na Zapoteki.
Upande wa dini walio wengi ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki.
Majimbo ya Mexiko [hariri]
- 1.Aguascalientes
- 2.Baja California
- 3.Baja California Sur
- 4.Campeche
- 5.Chiapas
- 6.Chihuahua
- 7.Coahuila
- 8.Colima
- 9.Durango
- 10.Guanajuato
- 11.Guerrero
- 12.Hidalgo
- 13.Jalisco
- 14.Mexico
- 15.Michoacán
- 16.Morelos
- 17.Nayarit
- 18.Nuevo León
- 19.Oaxaca
- 20.Puebla
- 21.Querétaro
- 22.Quintana Roo
- 23.San Luis Potosí
- 24.Sinaloa
- 25.Sonora
- 26.Tabasco
- 27.Tamaulipas
- 28.Tlaxcala
- 29.Veracruz
- 30.Yucatán
- 31.Zacatecas
Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wahispania walioivamia kuanzia mwaka 1519 na kuvunja utawala wa milki za wenyeji kama Azteki na Maya.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mexiko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |