1929
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | ►
◄◄ | ◄ | 1925 | 1926 | 1927 | 1928 | 1929 | 1930 | 1931 | 1932 | 1933 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1929 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 11 Februari - Mkataba wa Lateran kati ya serikali ya Italia na Papa kuhusu mamlaka juu ya Mji wa Vatikani
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1929 MCMXXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5689 – 5690 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1921 – 1922 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1378 ԹՎ ՌՅՀԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1348 – 1349 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1307 – 1308 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1984 – 1985 |
| - Shaka Samvat | 1851 – 1852 |
| - Kali Yuga | 5030 – 5031 |
| Kalenda ya Kichina | 4625 – 4626 戊辰 – 己巳 |
- 15 Januari - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani
- 23 Januari - John Polanyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 31 Januari - Rudolf Moessbauer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961)
- 7 Machi - Dan Jacobson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 8 Machi - Hebe Camargo, mwimbaji wa Brazil
- 5 Aprili - Ivar Giaever (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973)
- 3 Juni - Werner Arber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1978)
- 1 Julai - Gerald Edelman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 14 Agosti - Matthias Joseph Isuja, askofu mstaafu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Tanzania
- 15 Septemba - Murray Gell-Mann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1969)
- 31 Oktoba - Bud Spencer, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 2 Novemba - Richard Taylor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990)
- 9 Novemba - Imre Kertesz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2002)
Waliofariki [hariri]
- 4 Aprili - Karl Friedrich Benz (mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa)
- 23 Septemba - Richard Zsigmondy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1925)
- 3 Oktoba - Gustav Stresemann (mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: