Mexico (jimbo)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mexico katika Mexiko
Mexico (jimbo) ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni Toluca na mji mkubwa ni San Cristóbal Ecatepec.
Imepakana na Hidalgo, Querétaro, Tlaxcala, Puebla, Morelos, Guerrero na Michoacán. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 14,007,495. Una eneo la 21,355 km².
Gavana wa jimbo ni Enrique Peña Nieto.
Lugha rasmi ni Kihispania.
[hariri] Miji Mikubwa
- San Cristóbal Ecatepec (1,688,258)
- Ciudad Nezahualcóyotl (1,136,300)
- Naucalpan (792,226)
- Toluca (747,512)
[hariri] Viungo vya Nje
- (Kihispania) Estado de Mexico Sitio oficial
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mexico (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |