2005
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 2002 2003 2004 - 2005 - 2006 2007 2008 |
[hariri] Matukio
- 30 Desemba - Edward Ngoyayi Lowasa amechaguliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 6 Machi - Hans Bethe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)
- 5 Aprili - Saul Bellow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1976)
- 27 Juni - George Lilanga, msanii Mmakonde kutoka Tanzania
- 6 Julai - Claude Simon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1985)
- 16 Agosti - Frere Roger (Roger Schutz) aliuawa kanisani na mwanamke aliyeharibika kiakili.
- 24 Oktoba - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi
- 16 Novemba - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983