Vincent Schiavelli
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Vincent Schiavelli | |
|---|---|
Schiavelli and his then- wife Allyce Beasley, 20 September 1987 |
|
| Amezaliwa | Vincent Andrew Schiavelli 11 Novemba 1948 Brooklyn, New York, U.S. |
| Amekufa | 26 Desemba 2005 (umri 57) Polizzi Generosa, Italia |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 1971–2005 |
| Ndoa | Allyce Beasley (August 4, 1985 – 1988) Carol Mukhalian (October 23, 1992 – December 26, 2005) |
Vincent Andrew Schiavelli (11 Novemba, 1948 – 26 Desemba, 2005) alikuwa mwigizaji wa kwenye makumbi, filamu, na televisheni kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama mzuka wa reli za andaki kutoka katika filamu ya Ghost. Mara nyingi huelezwa kama 'mtu mwenye macho ya uzuni'.
[hariri] Viungo vya Nje
- Vincent Schiavelli kwenye Internet Movie Database
- Vincent Schiavelli katika All Movie Guide
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Vincent Schiavelli at Memory Alpha (a Star Trek Wiki)
- Photos of the last shooting
- Vincent Schiavelli katika Find A Grave
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vincent Schiavelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |