Saul Bellow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Saul Bellow, 1990

Saul Bellow (10 Juni, 19155 Aprili, 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Kanada lakini. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1976 alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya riwaya yake "Kipaji cha Humboldt" (kwa Kiingereza Humboldt's Gift) iliyotolewa mwaka wa 1975. Mwaka uleule wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saul Bellow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine