Richard Smalley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Errett Smalley

Richard Errett Smalley (6 Juni 194328 Oktoba 2005) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amefahamika kwa kugundua na kuchunguza mfumo mpya wa kaboni. Mwaka wa 1996, pamoja na Robert Curl na Harold Kroto alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Smalley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.