1996
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1992 | 1993 | 1994 | 1995 | 1996 | 1997 | 1998 | 1999 | 2000 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1996 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1996 MCMXCVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5756 – 5757 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1988 – 1989 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1445 ԹՎ ՌՆԽԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1417 – 1418 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1374 – 1375 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2051 – 2052 |
| - Shaka Samvat | 1918 – 1919 |
| - Kali Yuga | 5097 – 5098 |
| Kalenda ya Kichina | 4692 – 4693 乙亥 – 丙子 |
Waliofariki [hariri]
- 28 Januari - Joseph Brodsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987)
- 18 Machi - Odysseas Elytis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1979)
- 11 Mei - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria
- 6 Juni - George Snell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 15 Juni - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz
- 22 Julai – Vermont Royster (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1953)
- 1 Agosti - Tadeus Reichstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 8 Agosti - Nevill Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 9 Agosti - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani alijiua
- 13 Septemba - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Septemba - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 3 Novemba - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-76) na Kaisari (1976-79) ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 21 Novemba - Abdus Salam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: