Nevill Mott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nevill Francis Mott, London 1952

Nevill Francis Mott (30 Septemba 19058 Agosti 1996) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza upitishaji wa umeme, na usumaku. Mwaka wa 1962 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1977, pamoja na Philip Anderson na John Van Vleck alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nevill Mott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.