Geoffrey Wilkinson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Geoffrey Wilkinson

Geoffrey Wilkinson (14 Julai 192126 Septemba 1996) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza metali. Mwaka wa 1973, pamoja na Ernst Otto Fischer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1976 alipewa cheo cha "Sir".

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geoffrey Wilkinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.