1521
Kutoka Wikipedia
[hariri] Matukio
- 3 Januari - Papa Leo X anamtenga Martin Luther na kanisa.
- 13 Agosti - Jeshi la Hernan Cortez linateka mji wa Tenochtitlan (Mexiko) na kuiharibu kabisa linaua makumi elfu ya wakazi wake. Mwisho wa Dola la Azteki.

