Papa Urban VII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Urban VII

Papa Urban VII (4 Agosti, 152127 Septemba, 1590) alikuwa papa kuanzia 15 Septemba, 1590 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Castagna. Alimfuata Papa Sixtus V. Alipatwa na malaria na kufariki kabla hajavishwa taji.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.