Papa Klementi IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi IV

Papa Klementi IV (23 Novemba mwaka usiojulikana – 29 Novemba, 1268) alikuwa papa kuanzia 5 Februari, 1265 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gui Faucoi le Gros. Alimfuata Papa Urban IV.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Klementi IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.