Papa Leo VIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Leo VIII alikuwa papa kuanzia mwezi wa Julai 964 hadi kifo chake tarehe 1 Machi, 965. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata Papa Benedikto V. Hata kabla kumfuata Benedikto V rasmi, Leo VIII aliteuliwa kuwa papa na Mfalme Mkuu Otto I wa Ujerumani mwezi wa Desemba 963 lakini hakupokelewa vizuri kwa vile Papa Yohane XII aliyelazimishwa kujiuzulu bado alikuwa hai.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.