Papa Yohane XII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Yohane XII (takriban 93714 Mei, 964) alikuwa papa kuanzia 16 Desemba, 955 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Octavian akiwa mjukuu wa Karolo Mkuu vizazi saba kutoka kwake. Alimfuata Papa Agapeto II.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.