Papa Leo XI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Leo XI

Papa Leo XI (2 Juni, 153527 Aprili, 1605) alikuwa papa kuanzia 1 Aprili, 1605 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Ottaviano de' Medici. Alimfuata Papa Klementi VIII.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.