Papa Pius III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Pius III

Papa Pius III (29 Mei 143918 Oktoba 1503) alikuwa papa kuanzia 22 Septemba 1503 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Todeschini Piccolomini. Alimfuata Papa Alexander VI akafuatwa na Papa Julius II.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Pius III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.