Papa Klementi XIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi XIII

Papa Klementi XIII (7 Machi, 16932 Februari, 1769) alikuwa papa kuanzia 6 Julai, 1758 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Carlo della Torre Rezzonico. Alimfuata Papa Benedikt XIV.

[hariri] Viungo vya nje

Papa Klementi XIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.