Papa Yohane V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane V alikuwa papa kuanzia mwezi wa Julai 685 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti, 686. Alimfuata Papa Benedikto II.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Yohane V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |